Admin

Ziara ya Dk Mwigulu yaweka hatarini ajira za watendaji mikoani

Dar es Salaam. Huenda ziara zilizofanywa na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, katika mikoa ya kaskazini zikaweka hatarini nafasi za baadhi ya watendaji serikalini kutokana na kubainika kwa kasoro za kiutendaji. Katika ziara hiyo iliyoanzia Mkoa wa Tanga Februari 13, 2026, kisha Kilimanjaro, Arusha na Manyara, Dk Mwigulu aliwabananisha watendaji wa Serikali akitaka kupatiwa ufafanuzi…

Read More

Straika wamliza Maxime | Mwanaspoti

WAKATI mashabiki wa Mbeya City wakilia na matokeo yasiyoridhisha, kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime amesema tatizo ni upepo kikosini na ubutu wa straika wake katika kutumia nafasi wanazopata. Hata hivyo, amewatuliza mashabiki kuwa Mbeya City itarejea vyema kwani ligi haijaisha, huku akionesha kutofurahishwa na baadhi yao wanaoingilia majukumu ya kupanga kikosi uwanjani. Mbeya…

Read More

Ninja aelezea uzoefu anaoupata Championship

BEKI wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ anayeichezea Transit Camp inayoshiriki Championship, alisema anajifunza vitu vingi kutoka ligi hiyo anayocheza kwa mara ya kwanza, huku akifichua huko zaidi nguvu inatumika sana. Ninja aliyezaliwa Zanzibar Januari 21, 1998 akiwa na umri wa miaka 27 hivi sasa, alisema ugumu wa Ligi ya Championship ni kwa zile…

Read More

Israel Yashambulia Makao Makuu ya Jeshi la Iran mjini Tehran

Global Publishers March 4, 2026 0 Comments Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha mashambulio dhidi ya makao makuu ya kijeshi ya Iran mjini Tehran, huku Qatar ikipata mashambulio ya makombora mawili ya masafa marefu, bila kuarifiwa kuhusu majeruhi. Msemaji wa IDF, Avichay Adraee, amesema kwamba mashambulio hayo yamelenga makao makuu ya Basij, kikosi cha…

Read More

Dickson Job nje miezi miwili Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amethibitisha kwamba, nahodha msaidizi wa kikosi hicho, Dickson Job, hatakuwa sehemu ya mechi ya kesho Alhamisi dhidi ya Singida Black Stars kufuatia kuumia enka. Kwa mujibu wa Pedro, Job aliyeumia enka katika Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba iliyomalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana wikiendi iliyopita, anatarajiwa kuwa nje…

Read More