Shehena ya dawa tiba hatari za kulevya yanaswa kwenye basi
Dar es Salaam. Jumla ya chupa 1,795 za dawa tiba zenye asili ya kulevya zimekamatwa zikiwa zimefichwa ndani ya basi la abiria linalofanya safari zake kati ya Tanzania, Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Kukamatwa kwa dawa hizo ni matokeo ya operesheni iliyofanywa kwa ushirikiano kati ya maofisa wa forodha katika mpaka wa…