
Morocco, Madagascar patachimbika CHAN 2024
TIMU ya taifa la Morocco imeweka historia nyingine kwenye michuano ya (CHAN) 2024 baada ya kuibwaga Senegal kwa mikwaju ya penalti 5-3 kufuatia sare ya bao 1-1 katika dakika 120 kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Kampala huku wakiwa na hesabu za fainali. Hii ni mara ya tatu kwa Morocco kutinga fainali ya michuano hiyo, katika…