
Kunje ateuliwa kuwania urais, apatwa mshangao kukabidhiwa gari
Dodoma. Kunje Ngombale wa AAFP ni kama hakuamini lakini ikawa kweli. Kunje ni mgombea kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ambaye amefika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), jijini Dar es Salaam kukamilisha taratibu za uteuzi. Amefika akiwa kwenye msafara wa magari mawili akiwa na mgombea mwenza wake, Chumu…