
Israeli yaua wanajeshi sita wa Syria
Maofisa sita wa Jeshi la Syria wameuawa katika mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za Israel kusini mwa Damascus, kituo cha televisheni ya Serikali ya Syria, El Ekhbariyaimeripoti. Mashambulizi hayo yamefanyika ikiwa ni siku moja baada ya Syria kulaani kile ilichokiita “uvamizi wa kijeshi” mpya wa Israel, nje ya mji mkuu Damascus. Ndege zisizo na…