Admin

Moja kati ya nne bado haina ufikiaji wa maji salama ya kunywa na usafi wa mazingira – maswala ya ulimwengu

ripoti Kutoka kwa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) na wakala wa watoto (UNICEF) Imetolewa kama Wiki ya Maji Duniani inapoendelea, inaonyesha mapungufu yanayoendelea katika upatikanaji, na jamii zilizo hatarini zinazokabiliwa na utofauti mkubwa. Watu wapatao bilioni 2.1 bado hawana ufikiaji wa maji ya kunywa yanayosimamiwa salama, wakati milioni 106 ulimwenguni wanalazimika kutegemea vyanzo vya uso…

Read More

CHAN 2024: Morocco yaivua ubingwa Senegal

MABINGWA wa kihistoria wa Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, Morocco wamefuzu fainali ya michuano hiyo kwa kuivua ubingwa Senegal. Katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo Agosti 26, 2025 kwenye Uwanja wa Mandela uliopo Kampala nchini Uganda, mikwaju ya penalti 5-3 imetosha kuifanya Morocco kuwa mbabe mbele ya Senegal, timu iliyokuwa…

Read More

Vodacom Tanzania Yazindua Ripoti ya ESG, Ikitia Mkazo Mazingira, Jamii na Utawala Bora

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), akikata utepe kuzindua Ripoti ya ESG yenye kaulimbiu “Connecting for Good: People, Planet and Possibilities”, huku akishuhudiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Philip Besiimire. Ripoti hiyo inaonesha mchango wa teknolojia na huduma za mawasiliano katika kubadilisha maisha ya watu, kuongeza…

Read More

Wadau waeleza ushirikiano unavyoleta maendeleo thabiti

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa, ushirikiano baina ya sekta binafsi na umma ni nguzo muhimu ya kuhakikisha Tanzania inafanikisha Dira ya Maendeleo ya 2050, inayolenga kujenga Taifa jumuishi kidijitali, lenye uchumi thabiti, jamii yenye ustawi na utunzaji wa mazingira. Hayo yameelezwa leo Jumanne, Agosti 26, 2025 na wadau waliohudhuria uzinduzi wa Ripoti ya Ujumuishi wa…

Read More

Kihogosi awajibu wanaoandamana CCM kupinga ‘kukatwa’ watiania

Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi amewasititizia WanaCCM kuheshimu uamuzi wa vikao kuhusu watiania walioteuliwa na chama hicho kuwania ubunge na udiwani. Amesema kila MwanaCCM anapaswa kutambua, kuheshimu chama hicho, badala ya watu ndani ya chama, akitumia msemo wa ‘chama kwanza, mtu baadaye.’ Kihongosi ameeleza…

Read More