
Dk Migiro akabidhiwa ofisi akisema ‘tupo tayari kukitetea chama’
Dodoma. Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Asha-Rose Migiro ameanza rasmi kazi akisema, “tuko tayari kukitetea chama chetu ili kihakikishe wagombea wetu kinashinda.” Dk Migiro amesema hayo leo Jumanne, Agosti 26, 2025 akiwa makao makuu ya CCM, ‘White House’ jijini Dodoma, alipofika kukabidhiwa ofisi na Dk Emmanuel Nchimbi. Agosti 23, 2025, Halmashauri…