Admin

RUBY Play Yatua na Burudani Mpya Meridianbet

Meridianbet imepiga hatua nyingine kubwa kwa kuwaletea wateja wake mtoaji mpya wa michezo ya sloti anayefahamika Duniani kote kama Ruby Play. Hii siyo tu habari mpya, bali ni mlango wa kuingia kwenye ulimwengu wa msisimko, teknolojia ya hali ya juu na nafasi kemkem za ushindi. Ruby Play imejipatia umaarufu duniani kwa uwezo wake wa kubuni…

Read More

SEKTA BINAFSI INAWEZA KUIWEZESHA TRC KUPATA MAPATO ZAIDI KULIKO INAVYOJIENDESHA SASA – MKURUGENZI MKUU TRC

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema katika mageuzi ya Mashirika ya umma yanayoendelea kufanywa na Serikali, ni lazima TRC ihakikishe inafanya mabadiliko katika sekta ya biashara na ya uendeshaji kwa ushirikiano na sekta binafsi Mkurugenzi mkuu wa TRC Mhandisi Machibya Shiwa, amebainisha hayo jijini Arusha pembezoni mwa kikao kazi cha Wenyeviti na watendaji wakuu wa taasisi…

Read More

Vodacom Yazindua Ripoti Ya ESG – Global Publishers

Dar-es-Salaam, Agosti,26,2025, Vodacom Tanzania imezindua Ripoti ya ESG ambayo inalenga utekelezaji wa teknolojia ya Kidigitali kufika Dira 2050. Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo uliofanyika mapema Leo, jijini Dar-es-Salaam, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mipango na Uwekezaji,Mh.Prof.Kitila Mkumbo, amesema  anawashukuru na kuwapongeza Kampuni hiyo ya Vodacom kwa kuandaa mdaharo mzuri wa kuandaa Watanzania katika Utekelezaji wa Dira…

Read More

Mazishi ya mfanyabiashara yasimamisha shughuli Songea

Songea. Mazishi ya mfanyabiashara  mashuhuri wilayani Songea  Mkoa wa Ruvuma, Titus Mbilinyi maarufu Mwilamba ambayo yamefanyika leo Agosti 26,2025 kwenye kiwanda chake cha mifuko kilichopo  Ruhuwiko yamesimamisha shughuli ikiwamo maduka kufungwa. Tangu   saa 12 asubuhi  maduka mengi yamefungwa ikiwa ni ishara ya heshima kwa ajili ya kumsindikiza mfanyabiashara huyo, aliyekuwa kipenzi cha wanyonge. …

Read More