Watu watano wakiwemo askari polisi wafariki ajalini, tisa wajeruhiwa
Watu watano wamefariki dunia wakiwemo askari wawili wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Mbeya na wengine tisa kujeruhiwa wakiwemo wanafunzi katika ajali ya barabarani iliyotokea saa 12:15 jioni ya jana Jumanne, Desemba 16, 2025. Taarifa ya Polisi Mkoa wa Songwe iliyotolewa leo Jumatano, Desemba 17, 2025 imeeleza ajali hiyo ilitokea eneo la Karasha, Wilaya…