
Msajili amkalia kooni Mpina asema hastahili kuwa mgombea urais
Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imebatilisha uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, ikisema haukufuata taratibu za chama hicho, hivyo hastahili kuwa mgombea wa nafasi hiyo. Uamuzi huo, unakuja baada ya ofisi hiyo kuwakutanisha viongozi wa chama hicho na Katibu Mwenezi wa…