
Watu 21 wauawa kwenye shambulizi Gaza, wamo waandishi wa habari watano
Gaza. Watu 21 wameuawa kufuatia shambulizi la bomu lililopigwa na Israel kwenye hospitali ya Nasser kusini mwa Ukanda wa Gaza. Al Jazeera imeripoti kuwa miongoni mwa waliouawa ni waandishi wa habari watano waliokuwa wakifanya kazi katika mashirika ya Al Jazeera, Reuters na ya Associated Press (AP). …