Masauni atoa wito kutumia fursa zilizopo kwenye Mazingira
Na; Mwandishi Wetu, Unguja Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na mambo mengine imeimarisha zaidi ushirikiano wakimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusumazingira na mabadiliko ya Tabianchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ameyasemahayo wakati akiongea na Waandishi wa Habari Unguja, Zanzibar Machi…