Mechi Kubwa Leo: Odds Kubwa na Fursa za Kushinda na Meridianbet!
Ni siku nyingine ya kubadilisha maisha yako na Meridianbet. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo na uingie kwenye wale washindi wakubwa ambao hutangazwa hapa kila wiki. Hispania, Copa del Rey mchezo wa mkondo wa pili utapigwa ambapo FC Barcelona baada ya kupigika kwenye mechi ya kwanza atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Atletico Madrid….