Admin

Sillah ashindwa kujizuia kwa Tepsie

WINGA wa zamani wa Azam FC, Gibril Sillah ameshindwa kujizuia na kummwagia sifa nyota wa timu hiyo, Tepsie Evans akisema makali na kipaji kikubwa alichonacho kitakuwa msaada mkubwa kwa kikosi hicho baada ya kuondoka kwake. Azam chini ya kocha Florent Ibenge imekita kambi jijini Kigali, Rwanda kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya na imecheza…

Read More

Shule zisaidie kufundisha watoto uzalendo

Dar es Salaam. Uzalendo ni moyo wa kuipenda nchi yako, kuithamini, na kuwa tayari kujitoa kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa taifa lako. Ni thamani inayojengwa na kuendelezwa kwa makusudi, si jambo la kimaumbile tu. Katika hali ya sasa ambapo taifa linakumbwa na changamoto nyingi za kimaadili, kiuchumi na kijamii, ipo haja ya dharura…

Read More

Wapinzani wa JKT Queens Cecafa kujulikana

DROO ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake kutoka Ukanda wa Afrika Masharikia na Kati (Cecafa) inatarajiwa kuchezeshwa leo Nairobi, Kenya ambapo wapinzani wa wawakilishi wa Tanzania, JKT Queens, watafahamika. Ratiba inaonyesha michuano hiyo itaanza kuchezwa kati ya Septemba 4-16 kwenye viwanja vya Nyayo na Ulinzi Complex nchini humo. Kwa mujibu wa meneja wa…

Read More

Nani amefeli hapa; mfumo wa elimu au mwanafunzi?

Arusha. Gazeti hili tarehe 20 Agosti mwaka huu lilikuwa na ripoti ya Tamisemi kuhusu elimumsingi (BEST 2025), iliyoonyesha kwamba kuna uhaba mkubwa wa walimu katika shule zetu.  Ilikuwa ripoti ya kusikitisha, hasa ukizingatia kwamba mtoto wetu wa Kitanzania ana haki ya kupata elimu bora kama vile alivyo na haki ya kupata malezi bora. Pia haki…

Read More

TRA YAZINDUA YAZINDUA MFUMO MPYA WA MAKUSANYO YA MAPATO

Na.VERO  IGNATUS ARUSHA   Mamlaka ya Mapato  nchini (TRA) imezindua mfumo wa maarifa (knowledge management system) unaolenga kuongeza ufanisi,uwazi,na weledi katika ukusanyaji wa mapato ,sambamba na kuboresha huduma kwa walipa kodi katika mazingira ya sasa ya biashara yenye ushindani mkubwa yanayochochewa na teknolojia na utandawazi. Yusuphu Mwenda ni Kamishna mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)…

Read More

12 mbaroni tuhuma za kujeruhi, kupora Sh20 milioni Same

Same. Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu 12 kwa tuhuma za kumjeruhi na kumpora Sh20 milioni, mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Yusto Mapande. Tukio la kujeruhiwa kwa mwenyekiti huyo lilitokea Agosti 21, 2025 wakati akingia nyumbani kwake baada ya kutoka kwenye shughuli zake za biashara. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon…

Read More