
KEMBAKI- SITABOMOA NYUMBA NILIYOIJENGA, NITASHIRIKIANA NA CCM KWA MOYO WOTE
Na Janeth Raphael MichuziTv- Dodoma. Aliyekuwa Mbunge wa Tarime Mjini na Mtia Nia wa nafasi hiyo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mwaka huu 2025 Michael Kembaki, amevunja ukimya baada ya jina lake kutoonekana katika orodha ya wagombea walioteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Kembaki, ambaye katika mchakato…