EXPERIENCE THE WONDERS INAANZIA GETI LA NGORONGORO KUELEKEA BUSTANI YA EDEN
Wadigo wana msemo usemao ” baraka hubarikiwa waliobarikiwa hata kama si majaaliwa” Naam, ukisikia Ngorongoro ni eneo pekee unaloweza kuona Wanyama wakubwa watano (The Big 5) si hadithi za kusadikika wala Ndoto za alinacha, ni dhahiri inayothibitishwa na nuru ya upeo wa macho yako Fikiria unaingia tu getini, umbali wa nusu kilomita upande wako wa…