
Mikoa 13 bila mgombea mwanamke CCM
Dar es Salaam. Uchaguzi Mkuu wa 2025, utakuwa na uwakilishi wa wanawake 34 wanaogombea ubunge majimboni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku katika mikoa 13 chama hicho kikiteuka wanaume pekee. Ingawa idadi hiyo ya wanawake walioteuliwa na chama hicho kugombea ubunge majimboni imeongezeka ukilinganisha na ile ya mwaka 2020, wadau wanasema bado hatua iliyopigwa hairidhishi…