Kliniki ya ardhi kutatua changamoto za ardhi kwa wanawake
Dodoma. Serikali imeanzisha kliniki maalumu ya ardhi kwa lengo la kuwasaidia wanawake kutatua changamoto za umiliki wa ardhi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayotarajiwa kufanyika Machi 8 mwaka huu. Akizungumza leo Jumatatu Machi 2, 2026 jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nyumba, Ardhi na Maendeleo…