
Jela miaka 30 kwa kusafirisha gramu moja ya heroini na bangi
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Muharami Ahmed, kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, baada ya kupatikana na hatia ya usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya heroini na bangi. Mshtakiwa huyo anadaiwa kusafirisha Heroini zenye uzito wa gramu 1.58 pamoja na bangi yenye uzito wa kilo 1.04, katika bandari ya Dar…