Admin

Mvua zahatibu barabara, RC Mtambi aomba fedha za dharura

Musoma. Serikali ya Mkoa wa Mara imeomba Sh16 bilioni kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kugharamia matengenezo makubwa ya dharura ya barabara zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) mkoani humo. Ombi hilo limechochewa na uharibifu mkubwa wa barabara uliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha, ambazo zimeelezwa kuwa hazikutarajiwa kwa…

Read More

SERIKALI, WADAU WA MAENDELEO WAKUTANA KUHAKIKI MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI

* Huku Nchi za Afrika zikitakiwa kufanya biashara za pamoja, Wananchi waitwa kutoa maoni… Na Leandra Gabriel, MMG KATIKA Kuhakikisha biashara, uwekezaji na uchumi wa Nchi unakua Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi na wadau mbalimbali wa Maendeleo wameendelea kujadili, kutoa maoni na mapendekezo yatakayowezesha kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji pamoja na kuiandaa…

Read More

Wanadiplomasia, wadau wa maendeleo waipa Tanzania mbinu kukuza biashara

Dar es Salaam. Wadau wa maendeleo na wanadiplomasia wameishauri Tanzania kuchukua hatua za haraka kuboresha mazingira ya biashara ili kuvutia wawekezaji zaidi. Mapendekezo yao ni pamoja na kupunguza udhibiti wa taasisi nyingi, kuondoa urasimu, kuimarisha kituo cha huduma za pamoja na kuhakikisha utekelezaji wa mipango unafanyika kwa vitendo. Wametoa maoni hayo katika mkutano wa wadau…

Read More

Rais Samia Afanya Uhamisho na Kupangua Vyeo vya Mabalozi

Global Publishers March 2, 2026 0 Comments Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uhamisho na kupangua vyeo vya mabalozi katika vituo mbalimbali nje ya nchi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo unawahusisha mabalozi kadhaa waliopangiwa kuziwakilisha Tanzania katika mataifa na…

Read More