Admin

Sita wauawa, 86 wajeruhiwa shambulizi la mabomu Yemen

Shambulio hilo limefanywa na Jeshi la Israel (IDF) katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa, kwa kutumia makombora na ndege zisizokuwa na rubani likilenga kituo cha mafuta na Ikulu. Dodoma. Watu sita wameuwawa  na wengine 86 kujeruhiwa kufuatia shambulizi la bomu lililofanywa na vikosi vya Israel mjini  Sanaa nchini Yemen Jumapili ya Agosti 24, 2025. Al…

Read More

Bado Watatu – 2 | Mwanaspoti

USIKU ule nilirudi nyumbani nikiwa na fadhaa. Asubuhi yake ndio siku ambayo mkuu wangu wa kazi alinikabidhi cheo changu kipya kilichotoka makao ya polisi jijini Dar na kunivalisha tepe za uinspekta.Akili yangu ilikuwa haipo pale, ilikuwa kwa Hamisa. Hata baada ya kupata cheo hicho sikuonekana kuwa mwenye furaha kamili.Nilikabidhiwa ofisi mpya na majukumu mapya huku…

Read More

Maofisa wa Takukuru wafundwa | Mwananchi

Kibaha. Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru ) imeanza mafunzo ya siku mbili kwa maofisa wake waajiriwa (307) kutoka mikoa yote nchini ili kuwaongezea weledi na utaalamu kuhusu manunuzi ya umma. Mafunzo hayo yanafanyika wilayani Kibaha mkoani Pwani ambapo maofisa hao wanapitishwa na kuelezewa kuhusu manunuzi ya umma kupitia mfumo wa mtandao (NeST),…

Read More

Bado Watatu – 1 | Mwanaspoti

UTANGULIZIHebu fikiria kuwa wewe ni mpelelezi, unafika katika tukio la mauaji. Kuna mtu amenyongwa na mtu asiyefahamika. Unamkuta mtu ananing’inia kwenye kitanzi akiwa tayari ameshakufa lakini unakuta mtu mwenyewe aliyenyongwa siku hiyo, ndiye yule ambaye alishanyongwa hadi akafa miaka miwili iliyopita kwa hukumu ya mahakama kutokana na kosa la kuua!Uchunguzi wa polisi unaonyesha kuwa mtu…

Read More

Wananchi Shinyanga walia ajali za barabarani

Shinyanga. Wananchi wa Kata ya Itwangi, Halimashauri ya Wilaya ya Shinyanga, mkoani Shinyanga, wameiomba Serikali kuweka matuta katika barabara kuu ya eneo hilo kufuatia wimbi la ajali zinazodaiwa kusababisha vifo vya watu, wakiwemo wanafunzi. Wananchi hao wamesema ajali zimekuwa zikijirudia mara kwa mara kutokana na madereva kuendesha kwa mwendo kasi na kutokuheshimu alama pamoja na…

Read More

Simba kuwaaga Bocco, Mkude Simba Day

SIMBA imefichua kuwa nahodha wake wa zamani, John Bocco ‘Adebayor’ amestaafu rasmi kucheza soka la ushindani na itamuaga katika siku ya kilele cha Tamasha la Simba Day, Septemba 10, 2025. Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wanamuaga Bocco kwa heshima kwa vile ni mchezaji aliyeifanyia makubwa klabu yao. Amesema kuwa mbali na…

Read More