
Hofu ongezeko gharama za kupanda ndege Tanzania
Dar es Salaam. Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 (Sh111,250) kwa tiketi ya safari moja na dola 90 (Sh222,500) kwa safari ya kwenda na kurudi, endapo ada mpya itaanza kutumika kama ilivyopangwa. Serikali imepanga kuanza kutoza ada ya uwezeshaji abiria (Passenger Facilitation Fee) kwa wasafiri wote wa kimataifa kuanzia…