Unayopaswa kufahamu kuhusu asili ya makalio makubwa
Dar es Salaam. Kwa baadhi ya wanawake, urembo ni pamoja na kuwa na makalio makubwa, hali ambayo imekuwa kama kipimo kipya cha mvuto wa mwili. Wapo wanaoamini kuwa umbo hilo linavutia zaidi na kuongeza kujiamini, hasa katika zama hizi ambazo mitandao ya kijamii imetawala taswira ya urembo. Ni kutokana na hilo, wapo waliofikia hatua ya…