
Uwanja wa Nsekela Kujenga mshikamano wa michezo Kyerwa
Na Diana Byera-Kyerwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa amezindua rasmi uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu ujulikanao kama Nsekela Stadium uliojengwa na Abdulmajid Nsekela Mwenyekiti wa taasisi ya Abdulmajid Nsekela Foundation. Akizindua uwanja huo uliojengwa Wilayani Kyerwa katika eneo la Rwenkorongo Mkuu wa Mkoa Mwassa amempongeza Abdulmajid Nsekela mzaliwa wa Kyerwa…