Admin

Richardson Ng’ondya atangaza vita mpya Geita Gold

KIUNGO mshambuliaji wa Geita Gold, Richardson Ng’ondya amesema kufanya vizuri kwa washindani wao wakubwa msimu huu, ni jambo linalowaongezea morali ya kupambana zaidi, ili kwa pamoja wafikie malengo ya kuirejesha tena timu hiyo Ligi Kuu. Nyota huyo, amesemaubora wa benchi la ufundi na wachezaji wa kikosi hicho unawapa motisha ya kuipambania timu hiyo ili irejee…

Read More

Barberian FC yanyatia rekodi mbovu Championship

TIMU ya Barberian, inanyemelea rekodi mbovu msimu huu katika Ligi ya Championship, baada ya kikosi hicho ambazo zamani kilikuwa kinafahamika kwa jina la Kiluvya United, kushinda mechi moja tu hadi sasa kati ya 19 ilizocheza, kikiwa mkiani. Katika mechi hiyo moja ambayo kikosi hicho imeshinda msimu huu, ilikuwa ya ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya…

Read More

Kuchelewa matibabu kunavyochangia bodaboda kukatwa viungo

Dodoma. Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), wametaja sababu za wagonjwa wengi hasa madereva wa bodaboda au abiria wao kukatwa sehemu ya viungo vyao, ni kuchelewa kufika kwenye huduma. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Machi 2, 2026 na Mkurugenzi wa MOI, Dk Mpoki Ulisubisya wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utendaji…

Read More

Uwanja wa Mpaka kufungwa kupisha maandalizi AFCON 2027

SERIKALI imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia mwezi huu ili kupisha awamu ya mwisho ya ukarabati mkubwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Akizungumza katika mahojiano na gazeti la The Citizen, Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,…

Read More

Mtaalamu sayansi, usalama wa mtandao atinga Tume

TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Machi 2, 2026 imekutana na Mtaalamu wa Uchunguzi wa Kisayansi na Usalama wa Mtandao, Yusuph Kileo. Mkutano huo wa Tume na Mchunguzi huyo umefanyika katika ukumbi wa Tanganyika uliopo jengo la Benki Kuu ya…

Read More

MOI mguu sawa Afcon 2027

TAASISI ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imesema iko tayari kwa ajili kutoa huduma kwa wanamichezo watakaopatwa na madhira kwenye mashindano ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Tanzania itakuwa mwenyeji katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 ikiungana na nchi za Kenya na Uganda ambapo maandalizi yanaendelea. Mkurugenzi wa MOI, Dk…

Read More

Paa Na Kindege Cha Aviator, Nyakua Samsung Galaxy A26 Bure

Global Publishers March 2, 2026 0 Comments Wapenzi wote wa kasino mtandaoni wanaojua ladha ya ushindi, huu ni muda wenu kung’ara. Meridianbet imeichangamsha Aviator kwa mipango mpya kabisa. Sasa una nafasi ya kushinda Samsung Galaxy A26 unapocheza kama kawaida. Hapa sio tu unatafuta cashout ya pesa nyingi bali pia unacheza kwa ajili ya zawadi halisi…

Read More