
Panga la CCM lafyeka nusu ya wabunge
Dar es Salaam. Zaidi ya nusu ya wabunge waliomaliza muda wao katika majimbo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), hawatakuwa sehemu ya Bunge lijalo, baada ya kukwama katika michakato ya ndani ya uteuzi wa chama hicho. Katika michakato hiyo ya uteuzi, iliyofanywa na Kamati Kuu (CC) na hatimaye Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), wabunge 133,…