Kinachomsubiri Rais Samia akifungua mwaka wa Mahakama ya haki Afrika
Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu, Machi 2, 2026 anatarajia kufungua rasmi shughuli za mwaka wa kimahakama 2026 wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) yenye makao yake makuu jijini Arusha. Katika hafla hiyo inayowakutanisha majaji, wanasheria, mabalozi, wawakilishi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (UN) pamoja na wadau…