
Wasaini kanuni za maadili wakikumbushwa kuzingatia wajibu
Unguja. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, amezitaka pande tatu zinazohusika katika mchakato wa uchaguzi kuzingatia maelekezo ya kanuni za maadili ili kuhakikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025, unafanyika kwa amani, haki na mshikamano. Ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Agosti 24, 2025, katika ofisi kuu za ZEC Maisara,…