Admin

Unavyoweza kumlea mtoto wa kambo

Malezi ya mtoto wa kambo ni moja ya changamoto kubwa zinazowakumba wazazi wa kisasa, hasa katika familia zilizoanzishwa baada ya ndoa ya kwanza au baada ya  wazazi wa awali kuachana.  Mtoto wa kambo si wako kidamu, lakini kwa mazingira ya ndoa au uhusiano, unahusika moja kwa moja katika malezi yake.  Haha hivyo, kumlea mtoto wa…

Read More

WASHINDI 40 WA AWAMU YA PILI KAMPENI YA KIDIGITALI ‘’MIAMALA NI FURSA ’’ YA BANK OF AFRICA TANZANIA WAZAWADIWA

Na Mwandishi Wetu WATEJA 40 wa Bank of Africa Tanzania, wamefanikiwa kujinyakulia ushindi wa shilingi 50,000 kila mmoja wao kupitia kampeni ya kupata huduma za kibenki kwa njia ya kijidigitali inayojulikana kama “Miamala ni Fursa, iliyozinduliwa miezi miwili iliyopita. Kampeni hii ya miezi mitatu iliyoanza Juni 4, 2025 imelenga kuhamasisha wateja wa benki kutumia huduma…

Read More

Dk Kigwangalla awaaga wananchi, ajipigia chapuo

Dar es Salaam. Baada ya kuhudumu kwa miaka 15 akiwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Hamis Kigwangalla amewaaga wananchi wa Nzega akiwataka kutoa ushirikiano kwa mwakilishi wao mpya. Dk Kigwangalla ni miongoni mwa waliokuwa wabunge kwenye Bunge la 12 ambao michakato ya ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imewaweka kando…

Read More

MUHEZA YAIGARAGAZA BUMBULI MAGOLI 3-2 MICHEZO SHIMISEMITA

Na Oscar Assenga,TANGA TIMU ya Mpira wa Miguu ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza imebamiza Halmashauri ya wilaya ya Bumbuli mabao 3-2 katika michuano ya Shirikisho la Michezo la Mamlaka za Serikali za Mitaa kaika mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya Shule ya Ufundi Tanga. Shirikisho hili la Michezo linahusisha watumishi waliopo katika Mamlaka za Serikali…

Read More

Zaidi ya wanafunzi 1,000 kupelekwa India, China, Malaysia na Uturuki wakiwa Mabalozi wa Utalii na Uwekezaji wa Tanzania”

Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL) inatarajia kusafirisha wanafunzi zaidi ya 1,000 kwenda kusoma kozi mbalimbali nje ya nchi na imeanza kushirikiana na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), kuwatumia wanafunzi wanaosoma nje ya nchi kutangaza utalii. Hayo yalisemwa jana jijjini Dar es Saaalaam na Mkurugenzi Mkuu wa (GEL),…

Read More

Sababu, athari ya ubachela kwenye ndoa

Dar es Salaam. “Kwa takribani miaka mitatu sasa maisha ninayoishi na mume wangu ni kama hatupo ndani ya ndoa. Tunaishi nyumba moja na kulala katika kitanda kimoja lakini kila mtu na maisha yake. “Sehemu pekee ambayo inatukutanisha na kuzungumza ni katika masuala yanayohusu malezi ya watoto na majukumu ya familia.Mmoja wetu anaweza akapata changamoto na…

Read More

Coca-Cola Kwanza hosts Minister of Industry and Trade

Dar es Salaam, Tanzania, Sunday 24 August 2025 – Coca-Cola Kwanza Ltd proudly hosted the Minister of Industry and Trade, Dr Seleman Said Jafo (MP) at its Dar es Salaam facility. The visit provided a valuable opportunity to showcase the company’s commitment to doing business the right way – guided by integrity, shared value creation, and…

Read More

Ateba ndio basi Simba, apewa miwili Iraq

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Leonel Ateba sasa ni rasmi hatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu ujao, baada ya kutua klabu ya Al – Shorta ya Iraq iliyompa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba na anatarajia kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Ateba aliyeitukikia Simba kwa mkataba wa mwaka mmoja na kuifungia mabao 13 msimu…

Read More