
KAMATI KUU CCM YAMPITISHA MASABURI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIVULE
::::::: Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM)kimempitisha mwanachama wa ambaye pia aliwahi kuwa Naibu instahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya ilala Ojambi Didas Masaburi kuwa Mgombea ubunge wa Jimbo la Kivule jijini Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Masaburi ambaye aliongoza katika mchakato wa kura za maoni ndani…