Yanga yarejea kileleni, Depu aendelea kutupia
KIKOSI cha Yanga, kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumanne Januari 27, 2026 kwenye Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge jijini Dar es Salaam. Ushindi huo ulioirudisha Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa kufikisha pointi 22, umetokana na mabao mawili…