Vigogo wa Iran waliouawa na Marekani-Israel
Kufuatia kuthibitishwa kwa mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, vyombo vya habari vya serikali nchini humo vimethibitisha kuuawa kwa viongozi kadhaa waandamizi wa serikali na familia ya Khamenei. Miongoni mwa waliouawa katika shambulizi la Jumamosi ni pamoja na Ali Shamkhani, mshauri wa usalama wa Khamenei, Jenerali Abdolrahim Mousavi, Mkuu wa Majeshi ya…