
Uganda nayo yazifuata Kenya, Tanzania
TIMU ya Taifa ya Uganda maarufu ‘The Cranes’, imetupwa nje katika michuano CHAN 2024, baada ya kuchapwa bao 1-0 na bingwa mtetezi Senegal kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Uganda, leo Agosti 23, 2025. Katika mechi hiyo ya hatua ya robo fainali, Senegal ilipata bao hilo dakika ya 62 kupitia kwa Oumar Ba aliyepokea pasi ya…