Tofauti za kihisia kati ya wanawake na wanaume
Dar es Salaam. Mijadala kuhusu tofauti kati ya wanawake na wanaume imekuwepo kwa muda mrefu, lakini mijadala inayohusu hisia na mawasiliano imekuwa nyeti zaidi kwa sababu inagusa maisha ya kila siku kama ndoa, uhusiano wa kimapenzi, familia na hata sehemu za kazi. Mara nyingi migogoro hutokea si kwa sababu ya kukosa upendo au heshima, bali…