Usikubali kupoteza mwelekeo, elekeza moyo kwa Yesu
Bwana Yesu asifiwe, karibu katika tafakari ya neno la Mungu. Ninaitwa Mwalimu Erasto Maliganya kutoka mkoani Mbeya. Somo la leo ni mwendelezo wa somo lililopita ambalo lilikuwa linasema; ‘Kwa neno lako nitazishusha nyavu’. Katika injili ya Mathayo 9:20–22 tunaona habari ya mwanamke aliyekuwa anatokwa na damu kwa muda wa miaka kumi na miwili. Hali yake…