Admin

AIR TANZANIA YASITISHA SAFARI ZA DUBAI

::::::::::: Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), imetangaza kusitisha kwa muda safari zake za kwenda na kutoka Dubai, kutokana na kufungwa kwa anga la Mashariki ya Kati.  Katika taarifa kwa wateja iliyotolewa leo Februari 28, 2026, kampuni hiyo imesema imesitisha safari hizo hadi itakapotolewa taarifa nyingine na kwamba inaendelea kufuatilia kwa karibu hali ilivyo na…

Read More

MAAFISA USHIRIKA WATAKIWA KUWA VINARA WA MAFANIKIO NCHINI.

Maafisa Ushirika wa vyama vya ushirika nchini wametakiwa kutumia ipasavyo elimu na maarifa waliyoyapata katika mafunzo maalum ili kuwa chachu ya mafanikio, uwajibikaji na maendeleo endelevu ndani ya vyama vya ushirika. Akifunga rasmi mafunzo ya wiki mbili ya kuwajengea uwezo maafisa hao katika masuala ya usimamizi wa vyama, Mrajisi Msaidizi anayeshughulikia Uhamasishaji, Masoko na Uwekezaji…

Read More

Kardinali Pengo alivyoumaliza mwendo, kauli za viongozi

Dar es Salaam. Ameumaliza mwendo. Ndivyo inavyoweza kuelezwa hitimisho la safari ya mwisho ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika maziko yake yaliyokusanya maelfu ya waombolezaji, wakiwemo viongozi wa kitaifa na wa kidini pamoja na wananchi wa kada mbalimbali. Shughuli hizo zilianza kwa misa takatifu iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es…

Read More

Pacome atengwa Yanga ikipiga tizi la mwisho kabla ya Dabi

ZIKIWA zimesalia saa chache ipigwe mechi ya Dabi ya Kariakoo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex hapa Unguja, kikosi cha Yanga leo Februari 28, 2026 kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo, huku mchezaji nyota wa timu hiyo, Pacome Zouzoua akionekana kufanya mazoezi peke yake. Pacome aliripotiwa kuwa kwenye matibabu ya majeraha aliyoyapata na kwamba…

Read More

Cornel amrithi Almas Kasongo TPLB

ALIYEKUWA mkurugenzi wa Fedha wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Cornel Barnabas, ameteuliwa kuwa ofisa mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB). Tangu Juni, mwaka jana, nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na Ibrahim Mwayela baada ya rais wa TFF, Wallace Karia kumsimamisha aliyekuwa akihudumu katika nafasi hiyo, Almas Kasongo, kufuatia mgogoro ulioibuka baada…

Read More