
MALEZI BORA YA WATOTO KUANZIA UMRI WA AWALI
Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) ni miongoni mwa vyuo bora ambavyo vinatoa wataalamu mbalimbali wanaoisaidia jamii kutoka katika changamoto kwa kuleta suluhu hasa za kisaikolojia. Katika kuendelea kuhudumia jamii na kuifanya kuwa bora zaidi, Chuo hicho kimeanzisha program nyingine nne mpya katika mwaka wa masomo wa 2025 /2026. Program hizo zinalenga katika kuongeza wigo…