Admin

MALEZI BORA YA WATOTO KUANZIA UMRI WA AWALI

Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) ni miongoni mwa vyuo bora ambavyo vinatoa wataalamu mbalimbali wanaoisaidia jamii kutoka katika changamoto kwa kuleta suluhu hasa za kisaikolojia.  Katika kuendelea kuhudumia jamii na kuifanya kuwa bora zaidi, Chuo hicho kimeanzisha program nyingine nne mpya katika mwaka wa masomo wa 2025 /2026. Program hizo zinalenga katika kuongeza wigo…

Read More

BODI YA UTALII TANZANIA YAWAKARIBISHA MA-CEO ARUSHA KUSHIRIKI KIKAO KAZI,AWAOMBA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII VILIVYOPO

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru, amewakaribisha rasmi wageni na washiriki wote wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma (CEOs Forum 2025) kitakachofanyika kuanzia Agosti 23 hadi 26 , 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha AICC, jijini Arusha. Amesema…

Read More

Wanandoa wauawa kikatili, miili yachomwa moto

Mbeya. Wanandoa wanaodaiwa kuwa raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameuawa katika Kijiji cha Chafuma, wilayani Momba. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Jeshi la Polisi Agosti 23, 2025 tukio la mauaji lilitokea Kata ya Kapele iliyo Tarafa ya Ndalambo, juzi Agosti 22, saa nane mchana. Taarifa hiyo iliyotolewa na Kamanda…

Read More

Wasiojulikana wajeruhi, watoweka na Sh20 milioni

Same. Watu wasiojulikana wamemvamia na kumjeruhi kwa mapanga Yusto Mapande, mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro. Mapande alijeruhiwa alipokuwa akiingia nyumbani kwake akitokea kwenye biashara zake, pia ameporwa zaidi ya Sh20 milioni zilizokuwa kwenye gari lake. Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni amethibitisha tukio hilo akisema limetokea jana Agosti 22,…

Read More

Hekaya za malevi: Akili mnemba kizibo cha akili – 2

Dar es Salaam. Siwezi kubishana na umati unaodai kuwa akili mnemba ni maendeleo. Hoja yangu ni lugha inayotumika  tukisema “Maendeleo ni kutoka mahala na kwenda mahala pengine”, haimaanishi kwenda kinyumenyume ni maendeleo. Hivyo nakusudia kusema kuwa matumizi ya akili mnemba bado hayajaeleweka sawasawa miongoni mwa watumiaji wake. Wanaiweka mbele wakidhani kuwa ina silika za ufundishaji….

Read More