Serikali kujenga gati mpya kilipo Chuo cha Bandari
Dar es Salaam. Serikali imekusudia kukihamisha Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) na kutumia eneo hilo kwa ajili ya kujenga gati ikiwa ni moja ya hatua za kupanua Bandari ya Dar es Salaam. Kuhamishwa kwa chuo hicho, kunalenga kukipeleka katika eneo kubwa zaidi la Kimbiji lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam kutoka katika eneo…