
Vita tano ngumu Yanga | Mwanaspoti
WATETEZI wa Ngao ya Jamii, Ligi Kuu na Kombe la FA, Yanga ni kama wameshamaliza usajili wa kikosi kwa ajili ya hesabu mpya za msimu ujao kwa kumuongezea beki wa kati, Frank Assinki, lakini ndani ya ujio wa kitasa hicho raia wa Ghana kuna vita tano nzito. …