
Kwa hili… Taifa Stars hatuwadai
ACHANA na matokeo ya pambano la usiku wa jana Ijumaa la robo fainali ya michuano ya CHAN 2024 wakati Tanzania ilipokabiliana na Morocco kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, kilichofanywa na Taifa Stars katika fainali hizo ni wazi ‘haidaiwi kitu’. Tanzania iliyoshiriki fainali hizo za nane ikiwa ni mara ya tatu, safari…