
Taifa Stars yaishia njiani kama Kenya
Tanzania imeungana na Kenya zikiwa nchi wenyeji kutupwa nje ya fainali za Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Morocco kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Bao la dakika ya 63 likifungwa na mshambuliaji Oussama Lamlioui akipokea pasi ya kiungo Youssef Belammari limetosha kusitisha matumaini ya…