
Sudan, Algeria vita nzito, Uganda kuikabili Senegal
UHONDO wa michuano ya CHAN 2024 unaendelea leo kwa mechi mbili, moja ikipigwa visiwani Zanzibar wakati Sudan itakuwa mawindoni dhidi ya Algeria, huku jijini Kampala wenyeji Uganda watakuwa na kibarua kizito mbele ya watetezi, Senegal. Sudan iliyomaliza kama kinara wa Kundi D imesalia Zanzibar na kuanzia saa 2:00 usiku itakuwa na kazi ya kukabiliana na…