
Wadau: Nishati safi iendane na ubora vifaa vinavyotumika
Dar es Salaam. Wakati nchi ikielekea kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia, wadau wameshauri Shirika la Viwango Tanzania (TBS) liwe na mfumo maalumu wa ukaguzi, ili kubaini vifaa vya kielektroniki vya kupikia visivyo na ubora. Wito huo umefuatia malalamiko kadhaa kutoka kwa watumiaji ambao walipata changamoto ya vifaa hivyo kuharibika mapema, kutokana na kukosa…