
Idadi ya waliokufa mgodini yafikia wanane, Rais Samia atoa maagizo
Shinyanga. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa viongozi wa Serikali waliopo maeneo ya ajali ya mgodini kushiriki taratibu zote za mazishi kwa watu waliofariki ajali ya mgodini na kuwasilisha rambirambi zake. Akizungumza leo Agosti…