
Elimu, uwekezaji vikwazo ufikiaji fursa uchumi wa buluu
Dar es Salaam. Kukosekana kwa elimu ya kutosha na uwekezaji zimetajwa kuwa sababu zinazofifisha jitihada za ufikiaji wa fursa zilizopo katika uchumi wa buluu nchini. Hayo yanasemwa wakati ambao tayari Serikali imezindua mkakati wa kitaifa unaolenga kuhakikisha fursa zilizopo katika uchumi wa buluu zinafikiwa kikamilifu. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Chuo cha Bahari (DMI), Profesa…