
Jimmyson Mwanuke kurejea Mtibwa Sugar
MTIBWA Sugar iliyopanda Ligi Kuu msimu huu imeanza mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa zamani wa Singida Black Stars, Jimmyson Mwanuke. Kama nyota huyo atakamilisha dili hilo itakuwa mara ya pili kuichezea Mtibwa msimu wa 2023/24 kwa mkopo akitokea Simba ambako hakupata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza. Chanzo kililiambia Mwanaspoti kuwa viongozi wa timu hiyo…