Admin

Hamdani Said kuandika historia Kombe la Dunia

Mwamuzi msaidizi wa kimataifa wa Tanzania, Hamdani Said ameteuliwa ni miongoni mwa marefa 12 wa Afrika walioteuliwa kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia za Vijana chini ya umri wa miaka 17 mwezi Novemba huko Qatar. Kwa kuteuliwa huko, Hamdani anakuwa mwamuzi wa kwanza wa Tanzania katika historia kuteuliwa kuchezesha fainali za Kombe la Dunia kuanzia…

Read More

Zifahamu dawa zinazolewesha, kukupa usingizi

Russia. Zipo baadhi ya dawa za matibabu ambazo zina faida kubwa katika kukabiliana na matatizo ya kiafya lakini huwa na madhara machache yenye hatari ndogo ikiwamo hali ya kulewa, kulevya au hali ya usingizi. Kitabibu madhara haya machache si lazima yamtokee kila mtu; hii ni kwasababu kila mtu huwa na ustahimilivu wa kibaiolojia wa upokeaji…

Read More

Watoto watatu wafariki dunia kwa jiko la mkaa

Busega. Watoto watatu wa kike wamefariki dunia baada ya kukosa hewa safi wakiwa ndani ya hema walilokuwa wamelala, baada ya kuwasha jiko la mkaa kwa ajili ya kupika uji wakati wa kambi ya waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato katika Kijiji cha Mkula, Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu. Tukio hilo limetokea Agosti 18, 2025 na…

Read More

Vioo vya simu, runinga janga la kiafya

Dar es Salaam. Katika dunia ya kisasa inayozidi kutawaliwa na teknolojia, simu janja na televisheni zimekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa mamilioni ya watu duniani. Watu wanazitumia kwa kazi, mawasiliano, elimu, burudani, na hata kwa mahitaji ya kijamii. Lakini pamoja na faida zake nyingi, vifaa hivi vina upande wa pili ambao mara nyingi…

Read More

Bado siku 9 kwa waombaji mikopo elimu ya juu

Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewakumbusha waombaji wa mikopo na ufadhili wa Samia Scholarship kuwa dirisha la maombi kwa mwaka wa masomo 2025/2026 litafungwa rasmi Agosti 31, 2025 bila kuongezwa muda. HESLB imetoa kauli hiyo jana Alhamisi Agosti 21, 2025 kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari,…

Read More

Ni robo fainali ya kisasi Ligi ya Kikapu Dar

Ni vita ya kisasi    robo fainali ya Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL) itakayoanza kesho (Jumamosi) kwenye Uwanja wa Donbosco Upanga. Kila timu inasaka ushindi kwa kulipa kisasi baada ya kufungwa katika hatua ya kwanza ya ligi hiyo na JKT Stars itakutana na Vijana Queens, huku Jeshi Stars itamenyana na  Pazi Queens. Kwa upande…

Read More