
CHAN 2024: Sudan inaitaka nusu, wachekelea sapoti Zanzibar
KOCHA wa timu ya taifa la Sudan, Kwesi Appiah amesema wako tayari kwa robo fainali ya CHAN 2024 watakapokutana na Algeria ambao ni wanafainali za mwaka 2022. Sudan ilimaliza nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa kundi D ikiwa na pointi tano sawa na Senegal huku Algeria ikishika nafasi ya pili kundi C na pointi sita…