Admin

Watuhumiwa wa uchochezi watoweka baada ya dhamana, wasakwa

Iringa. Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limefafanua madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kupotea kwa watuhumiwa wanne wanaodaiwa kushikiliwa na jeshi hilo, likisisitiza kuwa, hakuna aliyepotea mikononi mwa polisi, bali baadhi yao wanatafutwa kwa kuvunja masharti ya dhamana na tuhuma za mauaji. Akizungumza na waandishi wa habari Februari 26, 2026 ofisini kwake Kamanda…

Read More

Pedro, Barker jeuri ipo hapa

IMEBAKI muda usiozidi saa 48 kabla ya Dabi ya Kariakoo haijapigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja, huku makocha wa Yanga na Simba kila mmoja ni kama ana jeuri ya kujivuni jeshi lake katika kumpa furaha huko Zanzibar. …

Read More

Dube aanika ukweli wa mabao yake

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Prince Dube amesema hashindani na mtu bali anashindana na rekodi zake mwenyewe ndani ya ligi sambamba na kufikia mafanikio ya mataji akiwa ndani ya timu hiyo. Dube amefunguka hayo baada ya kupachika bao lake la tano msimu huu likiwa ni la 18 kwake kwenye mechi 25 za ligi alizocheza tangu amejiunga na…

Read More

Namba zambeba Depu, amfunika Sowah

STRAIKA mpya wa Yanga, Laurindo Dilson Aurelio ‘Depu’ ameendelea kudhihirisha sio mtu wa mchezo mchezo kutokana na kasi yake ya ufungaji mabao Ligi Kuu Bara, akifunika mastaa kadhaa waliowahi kusajiliwa dirisha dogo na kutisha kwa kutupia mipira kambani. …

Read More

Yajue mambo yanayoharibu saumu | Mwananchi

Dar es Salaam. Katika Makala iliyopita tuliangazia sababu zinazoruhusu mtu Kisharia kufungua mchana wa Mwezi wa Ramadhani, ambapo tulibainisha sababu tatu, ambazo ni kusafri safari ya halali, ukongwe na kuumwa. Makala hii ni mwendelezo… Mwanamke mwenye hedhi au nifasi ni haramu kwake kufunga. Na akifunga saumu yake si sahihi. Mtume (Rehema na amani zimshukie) amesema:…

Read More